Top Stories

Kauli ya mwisho ya Hans Pope baada ya Msigwa kumjulia hali “Ugonjwa Unatesa sana huu”

on

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ni miongoni mwa watu waliowahi kumjulia hali Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC na Mfanyabiashara Zakaria Hans Pope ambae amefariki Dunia usiku Septemba 11, 2021 jijini Dar es Salaam akiwa anapatiwa matibabu.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa kile kichoandikwa na Gerson Msigwa kuhusu kuguswa na kifo cha Hans Pope.

HAJI MANARA AFUNGUKA BAADA YA KUPATA TAARIFA ZA KIFO CHA HANS POPE “AMEACHA PENGO KUBWA”

Soma na hizi

Tupia Comments