Top Stories

Kauli ya Polisi kuhusu Sikukuu ya Eid Al Adha ‘Tunatoa angalizo, tumejipanga’

on

Ikiwa July 21, 2021 waumini wa Dini ya Kiislamu Ulimwenguni wakitarajiwa kusheherekea Sikukuu ya Eid al Adha, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezungumzia Sikukuu hiyo na kutoa angalizo.

Tupia Comments