Top Stories

Kauli ya Rais Samia kuhusu Chato kuwa mkoa (video+)

on

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassani akiwa Chato leo amesema Serikali inakamilisha vigezo vinavyoruhusu Chato kuwa Mkoa.

“haujawa bado Mkoa kuna vigezo kadhaa ambavyo bado tunaendelea kuviangalia na vigezo hivi vikikidhi tutalimaliza jambo hilo”

RAIS SAMIA AFIKA KWENYE KABURI LA HAYATI MAGUFULI HUKO CHATO

Soma na hizi

Tupia Comments