Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amewataka wafanyabiashara kuchukua tahadhari katika maeneo yao ili kuepukana na majanga ya moto.
Naibu Waziri Sagini ameyasema hayo leo baada ya kufanya ziara katika Soko la Mbagala Rangi Tatu na Shule ya Sekondari Ilala ambayo yalitekea kwa moto usiku wa kuamkia Februari 13, 2022.
SOKO LA MBAGALA LATEKETEA, “MOTO ULIANZIA KWENYE VIBANDA, MITAJI HATUNA, TUNA KILIO KIKUBWA”