Top Stories

Kauli ya Tanesco kuhusu kurejea kwa huduma ya ununuzi wa Luku

on

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema changamoto ya kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki iliyojitokeza jana June 21,2022 imekwisha na kwa sasa huduma tayari imerejea kwenye hali yake ya kawaida na Wateja wanaweza kununua umeme kupitia njia zote.

“Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza”

.

 

Tupia Comments