Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Mapenzi ya Cardi B kwa offset ni moto achora Tattoo

on

Ikiwa ni miezi kadhaa imepita tokea Cardi B na Offset kutangaza kurudiana baada ya wawili hao kutengana mwishoni mwa mwaka jana 2018, sasa Cardi B azidi kuonyesha mapenzi kwa mume wake hii ni baada ya kuchora tattoo lenye jina la ‘Offset’ nyuma ya paja lake.

Inaelezwa kuwa Offset pia alishawahi kuchora tattoo yenye  jina la Cardi B kwenye shingo yake ikiwemo na majina ya watoto wake wote wanne pamoja na ya watu wake wa karibu anaowapenda na hivyo imezoeleka kwa Offset kufanya hivyo.

Kutokana na comments kutoka kwa mashabiki senti wamehoji kuwa huenda Cardi B amefanya hivyo kurudisha upendo ambao Offset amekuwa akimuonyesha ikiwemo na kuchora jina lake tattoo huku wengine wakidai kuwa ni mapenzi ya dhati yaliomsukuma Cardi B kufanya hivyo.

VIDEO: ULIPITWA NA PART 4 YA ZARI KUHUSU TANASHA “AJIANDAE KUMLEA MTOTO WAKE”? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA MWANZO MWISHO

Soma na hizi

Tupia Comments