Habari za Mastaa

Headlines za mshindi wa Bongo Star Search kushoot video ya kwanza Afrika Kusini….

on

Headlines za Bongo Fleva leo Dec 11 zinakwenda kwa mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2015, Kayumba ambaye kwasasa amekwenda nchini Afrika Kusini kuandaa video ya single mpya lakini bado haijajulikana atashoot na director gani.

Kupitia ukurasa wa instagram wa shindano hilo waliwataarifu mashabiki kuwa mshindi  wa Bongo Star Search 2015 aliyeibuka kwa ushindi wa kitita cha milioni 50 kwenye msimu  wa 8 anaelekea Afrika Kusini kushoot video yake ya kwanza.

#BSSStarInTheMaking | @kayumbaasosie ndani ya South Africa Kushoot video yake ya kwanza! Stay tuned..

A photo posted by Bongo Star Search (@bongostarsearch) on

Work in progress…. #BSS2015 #StarInTheMaking #streetsnatale

A photo posted by Hamisi Taletale (@babutale) on


Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments