Habari za Mastaa

Hii ni kwa wale wa Mr. Flavour wa Nigeria, mmeiona hii video mpya ambayo kamtumia Dillish wa BBA?

on

Screen Shot 2014-01-14 at 1.56.25 AMMr Flavour ni miongoni mwa Wasanii wachache wa Nigeria ambao wamewahi kualikwa na kuja kufanya show nchini Tanzania, time hii ametuletea video yake mpya ambayo ndani yake anaonekana Dillish ambae ni mshindi wa shindano la Big brother Africa 2013.

Video inaitwa ‘Ikwokrikwo’ na imefanywa nchini South Africa chini ya yuleyule mkali Clarence Peters ambae pia ndio alieifanya video ya Diamond na Davido.

Ikwokrikwo
Ikwokrikwo

Tupia Comments