Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kobe Bryant anastaafu basketball Marekani? Ikufikie hii kutoka kwake leo..
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Kobe Bryant anastaafu basketball Marekani? Ikufikie hii kutoka kwake leo..
Sports

Kobe Bryant anastaafu basketball Marekani? Ikufikie hii kutoka kwake leo..

November 30, 2015
Share
1 Min Read
SHARE

Jina la Kobe Bryant ni moja ya majina ya mastaa wakubwa duniani ambao hata kama sio mfuatiliaji wa mchezo wa basketball, huenda ukawa unalifahamu pia.. uzito na ustaa wa jina lake ulifanya akawa mmoja wa mastaa wachache wanamichezo wanaofahamika zaidi duniani.

Kobe Bryant alianza kucheza kikapu mwaka 1996, baadae jina lake likaanza kupata headlines kubwa baada ya kupata kampani kubwa ya mkali mwingine, Shaquille O’Neal walipokutana kwenye kikosi cha Los Angeles Lakers….

Jina la Kobe lilikua sana na akawa anavunja rekodi kubwa zilizowahi kuwekwa na mastaa wengine ikiwemo Michael Jordan… umri wake umegusa miaka 37 kwa sasa na kaona kuna kila sababu ya yeye kustaafu.

Misimu miwili iliyopita ya Ligi ya Basketball Marekani NBA haikuwa na mazuri kwa Kobe kutokana na majeraha ya mguu na bega pia !!…

KOBE II

Msimu wa NBA unaoendelea sasahivi Kobe amesema utakuwa wa mwisho kumuona yeye uwanjani, miaka 20 aliyoitumia uwanjani imemtosha kabisa !!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Imani Kajula CEO mpya Simba SC

Winga wa Kimataifa Trossard amejiunga Arsenal

Live: Ally Kamwe akabidhiwa simu ya gharama na Rais wa Yanga Eng.Hersi

Arsenal yamsajili Trossard

Usain Bolt atapeliwa Bilioni 29, fahamu mapya yaliyoibuka

Millard Ayo November 30, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Hakitupwi kitu hapa !!… zile chupa unaziona takataka, Nigeria wamejengea mpaka nyumba.. (+Pichaz)
Next Article Andy Murray kaipa headlines Uingereza baada ya kutwaa ubingwa huu..(Video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?