fB insta twitter

Picha zilizomfanya staa KCEE wa Nigeria awe gumzo mitandaoni

By

on

Ikiwa weekend ndio inaraibia kuisha na kama kawaida huwa sipendi upitwe na chochote kinacho trend kwenye mitandao ya kijamii.

Leo January 15 2017 nimekutana na stori ya staa muimbaji KCEE wa Nigeria ambaye amedaiwa kuwa na amekuwa akizifanyia photoshop (kuedit picha kwa utaalamu ili kuonyesha uhalisia tofauti) baadhi ya picha zake.

Ni kawaida kuedit picha lakini pale ambapo inaonekana kupoteza uhalisia kabisa inakuwa ishu nyingine. Mtandao wa habari za burudani wa Marekani wa Theshaderoom.com umeandika kuwa baadhi ya picha ambazo msanii huyo amekuwa akipost sio za kweli haswa ile ambayo ameonekana yuko na Christiano Ronaldo.

 

Video: Ukweli kuhusu Miss wa Ilala aliyepigwa Panga kichwani>>>

Soma na hizi

Tupia Comments