Mix

Wafungwa, mama wa watoto wa nne wafanya mtihani wa kumaliza darasa la saba…

on

aswedMtihani wa kitaifa wa shule za msingi Kenya (KCPE) umeanza leo ambapo miongoni mwa watahiniwa ni wanafunzi wa vituo vya elimu ya watu wazima ambao wamejitokeza kwa wingi.

Katika hali ambayo huenda haijazoeleka, katika watahiniwa hao wamo wafungwa, na mwanamke mwenye umri wa miaka ishirini na tisa na mama wa watoto wanne, ambaye amelazimika kumwacha mwanaye wa miezi miwili na kwenda kufanya mtihani huo.

Kutoka kaunti ya Meru mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na tisa naye ni miongoni mwa watahiniwa hao.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments