Habari za Mastaa

VideoMPYA: Dogo Janja anatualika kwenye hii ya ‘Kidebe’

on

Mkali na Hit Maker wa mdundo wa ‘My Life Dogo Janja leo August 26 2016 anatualika kuitazama video yake mpya ya ‘Kidebe‘ Mdundo ambao umefanywa chini ya Producer Maco chali, video imefanywa chini ya Director Hanscana.

Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa na Mkali huyu kutoka Bongoflevani ataiona hapa.

ULIMISS KUITAZAMA VIDEO YA DIAMOND KUITWA MAREKANI ILA HATAISAHAU HII YA MINNEAPOLIS? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments