Top Stories

Maajabu ya Mifuko ya Karatasi inayobeba Maji, Waziri ashangaa (+video)

on

Baada ya Serikali kuzuia matumizi ya Mifuko ya Plastiki, wafanyabiashara wametumia njia hiyo kama fursa ya kukuza uchumi wao kwa kufanya ubunifu wa utengezaji wa Mifuko Mbadala yenye uwezo tofauti ikiwemo kukaa na maji.

Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano na Mazingira), January Makamba amesema soko la Mifuko Mbadala ni jipya na limekuja kwa kasi, hivyo hakuna kisichowezekana na si kweli kwamba kuondolewa kwa mifuko ya Plastiki ni chanzo cha umasikini.

MLINZI WA SHULE AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA, MAMA AANGUA KILIO

Soma na hizi

Tupia Comments