Habari za Mastaa

PART 1: Roma na mke wake wasimulia msaada wa Ruge “Alitutafutia sehemu ya kuishi”

on

Msanii Roma Mkatoliki na mke wake Nancy wamezungumza na AyoTV na millardayo.com na kuelezea mchango wa marehemu Boss Ruge Mutahaba kwenye maisha yao haswa wakati walipopata matatizo ikiwemo ishu ya Roma kutekwa ambapo Roma amesema kuwa baada ya kupata matatizo ‘Ruge aliwatafutia sehemu ya kuishi licha ya kuwa yeye alikuwa hapataki’.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video, Roma na mkewe wakisimuliza.

VIDEO: Maonesho ya waandaji wa maharusi na sherehe, Waziri Shonza kayaongelea

Soma na hizi

Tupia Comments