Duniani

Video inayomuonyesha Seneta wa Kenya akifyetua risasi kwa hasira

on

Seneta Paul Njoroge wa Kenya jana jioni February 8 2017 amekamatwa na Polisi baada ya kufyetua risasi hewani kwenye mabishano na Boss wa VIVO Energy Polycarp Igathe juu ya umiliki wa Petrol station iliyopo Karai kwenye barabara kuu ya Nairobi-Naivasha.

Hii video hapa chini ina maelezo kupitia NTV Kenya

VIDEO: Tazama kwa juu ujenzi wa barabara nne kutoka Arusha Tanzania mpaka Voi Kenya kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments