Mix

Tamko la Rais Kenyatta kuhusu madaktari waliokuwa wamegoma Kenya

By

on

Leo April 5 2017 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametoa tamko kuwa madaktari waliokuwa katika mgomo walipwe mishahara yao yote ya kipindi cha miezi mitatu bila kujali kuwa walikuwa wamegoma hii ni baada ya katibu Mkuu wa chama cha madaktari kuitaka serikali iwalipe mishahara yao ya tangu December 2016.

Wakati akihutubia mkutano wa chama cha Jubilee uliofanyika katika kaunti ya Kiambu Rais Uhuru Kenyatta aliwataka madaktari kutogoma tena kwani hatokuwa na huruma kwa wakati mwingine.

VIDEO:Ulipitwa na matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki? bonyeza play kutazama.

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

 

Soma na hizi

Tupia Comments