Michezo

Kelvin Mbappe vijana 60 bora duniani kwa kijazi kijacho

on

Mtanzania Kelvin John “Mbappe” ,17, ameandika historia kwakuwa miongoni mwa vijana wanne Afrika waliotajwa na gazeti la The Guradian la Uingereza kuwa miongoni mwa vijana wenye vipaji kwa hali ya juu vya soka kwa kizazi kijacho(Next Generation).

Majina ya wachezaji wengine kutokea Afrika ni pamoja na Isaac Tshibangu kutokea Congo DR (TP Mazembe), Prince Kwabena Adu wa Ghana (Bechem United FC) na Ilaix Moriba anayecheza FC Barcelona mwenye asili ya Guinea na raia wa Hispania.

Kelvin kwa sasa yupo England katika Academy ya Brooke House College Football Academy, hivyo kutajwa katika list ya wachezaji 60 Duniania waliozaliwa kuanzia 2003 jambo la kipekee.

Soma na hizi

Tupia Comments