Habari za Mastaa

Kendrick Lamar ana ujumbe huu kwako; ‘Hard Work’ – (Video)!

on

Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Kendrick Lamar, kama wewe ni mmoja wapo basi ipokee hii mpya kutoka kwake… time hii Kendrick anaisogeza kwetu video clip iliyopewa jina ‘Hard Work’ na ndani rapper huyo anaonekana akimshauri rafiki yake kwenye mazingira tofauti umuhimu wa kufanya kazi kwa bidii… Ujumbe huu unaweza kukufaa na wewe pia mtu wangu.

Kama bado haijagusa macho yako basi feel free kukutana nayo hapa chini kwenye hii video ya dakika moja na sekunde 23.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

 

Soma na hizi

Tupia Comments