Habari za Mastaa

Utapenda kuiangalia video ya mdundo mpya wa Kendrick Lamar; ‘These Walls’ – (Video)!

on

Baada ya kuachia “i,” “King Kunta,” “Alright,” na “For Free?” Kendrick Lamar amerudi tena kuziandika headlines kwenye kurasa za burudani na official video ya mdundo wake mpya ‘These Walls‘ wimbo unaopatikana kwenye Album yake ya ‘To Pimp a Butterfly’.

Kwa sasa rapper huyo kutoka Compton yupo kwenye tour yake ya “Kunta’s Groove Sessions” tour iliyozinduliwa rasmi jana jijini Atlanta, Marekani.

laaa

Hapa chini nimekusogezea official music video ya wimbo mpya wa Kendrick Lamar ‘These Walls’, kama bado hajakutana nayo karibu uicheki video hiyo hapa chini kwa kubonyeza play.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments