Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Top Stories

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.

March 27, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Nchini Kenya, muungano wa upinzani wa Azimio la Umoja, umeitisha tena maandamano mapya leo jijini Nairobi kulalamikia kupanda kwa gharama ya maisha na kudai kile wanachosema ni ushindi wao wa kisiasa baada ya uchaguzi wa maka uliopita licha ya katizo la maandamano ya wiki iliyopita.

Maandamano ya Jumatatu iliyopita, nchini Kenya yalisambaratisha shughuli za kiuchumi jijini Nairobi, na kusababisha pia kifo cha Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Maseno, Magharibi mwa nchi hiyo. 

Wito umekuwa ukitolewa kwa viongozi hao wawili, Rais Ruto na Odinga kuketi pamoja na kutafuta suluhu kama njia moja ya kuliepusha taifa hilo kutumbukia katika mzozo wa kisiasa.

Licha ya wito huo kutoka kwa mashirika ya kiraia na viongozi wa kidini katika taifa hilo la Afrika mashariki, Odinga na Ruto wameonekana kupuuza wito huo na kuendelea na msimamo yao mikali ya kisaisa.

Maandamano ya wiki yanafanyika wakati huu rais William Ruto akiwa nje ya nchi kwa ziara ya siku nne katika mataifa ya Ujerumani na Ubelgiji.

Hata hivyo, jeshi la Polisi, limeharamisha maandamano hayo. Japhet Koome ni Inspekta Jenerali wa polisi nchini humo.

“Mimi kama inspekta generali wa polisi hakuna maandamano nimeruhusu, hayo ni mambo ya kisiasa na yanafaa kusuluhishwa kisiasa.”amesisitiza Japeth Koome.

Lakini mpaka sasa kiongozi huyo waupinzani Raila Odinga, bado amewasisituza kwa kuwaambia wafuasi wake wajitokeze kwa wingi na kusisitiza kuwa maandamano hayo ni ya amani, akiwa na ujumbe kwa jenerali wa polisi;

“Hayo maandamano tunafanya ni ya amani na sheria inakubali”

You Might Also Like

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 27, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
Next Article Makamu wa Rais wa Marekani aahidi uwekezaji mkubwa barani Afrika alipotua nchini Ghana.
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?