Michezo

Kenya wamtangaza Jacob Mulee kuwa kocha mpya

on

Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Kenya (FKF) Nick Mwendwa leo amemtangaza Jacob Mulee kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars kwa mkataba wa miaka mitatu.

Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni siku moja imepita toka FKF watangaze kuachana na aliyekuwa kocha wao mkuu Francis Kimanzi na benchi lote la ufundi.

Jacob Mulee

Benchi la ufundi lililofutwa kazi ndio hilo lililoiwezesha Kenya kufuzu kucheza AFCON 2019 kwa mara ya mara ya kwanza baada ya miaka 15, mabadiliko hayo bado hayajaweka wazi yamefanyika kwa sababu gani.

Soma na hizi

Tupia Comments