Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mtu huyo aliuawa kwa kupigwa risasi mjini Kisumu wakati maandamano ya kuipinga serikali yaliyoitishwa na upinzani yakiingia siku ya pili Jumatatu.

Siku ya leo kulishuhudiwa  mazingira ya fujo  katika jiji la kando ya ziwa huku maafisa wa polisi wa kupambana na fujo wakiendesha vita na umati.

Katika mzozo huo, polisi waliishia kutumia vitoa machozi kuwatawanya baada ya waandamanaji hao kuanza kuwarushia mawe maafisa hao.

Huku hayo yakijiri watu 2 walipigwa baada ya ya polisi kukabiliana na waandamanaji kaunti ya Migori.

Vurugu hizo zilianza Rongo huku waandamanaji waliokuwa na hasira wakikusanyika katika kituo cha Nyarach, ambako Ruto alikaribishwa na kuanza maombi maalum ya kusafisha eneo hilo kabla ya polisi kuwakamata waandamanaji kadhaa.

Katika eneo la Uriri polisi, waliokuwa wamejihami walikuwa katika hali ya tahadhari huku vijana waliokuwa na hasira wakiwa wamebeba mabango na matawi wakiimba dhidi ya mbunge wao Nyamita na rais William Ruto wakiwashutumu kwa gharama ya juu ya maisha.

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 27, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Next Article Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?