Top Stories

Unamfahamu Rais bora Afrika 2015? Ninayo hii stori iliyopewa headlines kubwa leo..

on

enjoy

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka 2014/2015.

Kabla ya Kenyatta kushinda, Rais Paul Kagame wa Rwanda alikuwa akishikilia nafasi hiyo.

ushund

Rais Kenyatta akikakabidhiwa hati ya Ushindi na Wawakilishi wa Wanafunzi hao.

Kenyatta alichaguliwa na maelfu ya wanafunzi kutoka Vyuo mbalimbali Afrika ambao walishiriki kwenye zoezi la kupiga kura.

Kenyatta alichaguliwa kwa uwezo wake wa kujenga makubaliano kitaifa na kimataifa na juhudi zake za kubadilisha sera na kutoa ufumbuzi katika masuala yanayohusu nchi ya Kenya.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments