AyoTV

Kama uliikosa hii ni video ya uzinduzi wa “Kamatia Chini Lights Up Tour” ya Navy Kenzo

on

Usiku wa February 28 kundi la Navy Kenzo linaloundwa na Aika na Nahreel lilifanya uzinduzi wa “Kamatia Chini Lights Up Tour” ambayo itafanyika mikoa kadhaa Tanzania pamoja na Nairobi Kenya. Navy Kenzo walifanya uzinduzi huo ndani Maisha Basement Dar Es Salaam.

Unaweza Enjoy Video ya dakika 12 kilivyohappen katika uzinduzi huo

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments