Top Stories

KERO: Ubovu wa barabara ya Msewe, magari yamehama, ilitengenezwa Kikwete akienda msibani (+video)

on

Hii ni kero ya ubovu wa barabara inayowakumba wakazi wa eneo la Ubungo Msewe Jijini DSM, Mmoja wa wakazi wa eneo hilo amenukuliwa akisema “mara ya mwisho barabra hiyo ilifanyiwa marekebisho wakati akipita Rais Mstaafu Kikwete akielekea msibani maeneo hayo”.

WATU WATANO WAFARIKI KATIKA DARAJA AMBALO CHUPUCHUPU MAGUFULI AMTUMBUE WAZIRI

Soma na hizi

Tupia Comments