AyoTV

VIDEO: ‘Tunasema uchumi unakua lakini haujawagusa watanzania wenyewe’-Bashungwa

on

April 12, 2017 Bunge lilikuwa likiendela kujadili mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018 ambapo baadhi ya wabunge walipata nafasi ya kusimama kuchangia, Innocent Bashungwa ni kati ya waliopata nafasi ambapo kwa upande wake alijikita zaidi katika kuzungumzia uchumi wa nchi.

VIDEO: Majibu ya Waziri Nchemba kwa wanaosema amekaa kimya Kuhusu watu kutekwa 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments