Top Stories

Kesho maombi ya Kitaifa kukemea Corona

on

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Aprili 22, 2020 atakuwa mgeni rasmi katika maombi ya kitaifa ya kuombea nchi dhidi ya janga la COVID 19 yatakayofanyika katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam kuanzia saa 3:00 asubuhi. Maombi yataongozwa na viongozi wakuu wa madhehebu ya dini.

BREAKING: CORONA YAUA 10 TANZANIA, WAGONJWA WAFIKIA 254

Soma na hizi

Tupia Comments