Habari za Mastaa

Cardi b amfikisha Mahakamani Tasha K, kesi imeahirishwa

on

Rapper wa kike kutokea nchini Marekani , Cardi B ametoa ushuhuda katika Mahakama ya Georgia State akimshtumu mmiliki wa channel ya Youtube nchini humo.

Cardi B amemfikisha Mahakamani Tasha K kwa kumshtumu kusambaza habari zisizo za kweli.

Kwa upande wa Cardi b alieleza Mahakama kwamba amekuwa akishindwa kulala na kutoelewana na familia yake kutokana na habari zilizokuwa zikiandikiwa katika mtandao huo.

Mahakama ilipomsikiliza Tasha K alikanusha taarifa hizo na kesi hiyo imeahirishwa kusikilizwa tena mnamo Januari 18,2022.

AUNT EZEKIEL AANGUA KILIO MAHAKAMANI, KESI YA DAWA ZA KULEVYA “SAID MBASHA NA WENZAKE”

 

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments