Top Stories

Kesi ya Mbowe na wenzake, Serikali kuanza kutoa ushahidi Mahakama ya Mafisadi

on

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi “Mahakama ya Mafisadi” kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi yao ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi ambapo Upande wa Mashitaka utatoa Ushahidi.

Ushahidi wa kesi hiyo ambayo ni namba 16 ya mwaka 2021 unaanza kusikilizwa mbele ya Jaji, Mustapha Siyani.

 

Tupia Comments