Kesi ya Unyang’anyi wakutumia Silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, Silvesta Nyegu pamoja na Daniel Mbura imemalizika usikilizwaji katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha ambapo hakimu amesema hukumu itakuwa Octoba 1 2021.
KAMANDA MSTAAFU KOVA AFUNGUKA TUKIO LA GWAJIMA KUOMBA KUBADILISHA KITI NA MIC “TATIZO LA SAIKOLOJIA”
https://www.youtube.com/watch?v=OpuHfPIAoK4&t=5s
OLE SABAYA, IGP SIRRO WATAJWA KESI YA MBOWE MAHAKAMANI KISUTU “TUMEOMBA WALETWE”