Shahidi wa 11 upande wa Mashtaka katika Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake Watatu ameieleza Mahakama alivyoshiriki katika kuwakamata na kuwasafirisha hadi Dar es Salaam watuhumiwa katika kesi hiyo.
Ayo TV & Millardayo.com tumekusogezea taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.