Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kesi ya bomoabomoa yaendelea kupigwa kalenda, kwa leo hii ndio sababu
Share
Notification Show More
Latest News
Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Kesi ya bomoabomoa yaendelea kupigwa kalenda, kwa leo hii ndio sababu
Mix

Kesi ya bomoabomoa yaendelea kupigwa kalenda, kwa leo hii ndio sababu

April 15, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Bomoabomoa iliyoanza mwishoni mwa mwaka 2015 kwenye maeneo mbalimbali ya mabondeni ikiwemo kwa maeneo yaliyo kando na mto msimbazi ambapo zoezi hilo lilisitishwa baada ya wakazi wa Tabata Segerea kufungua kesi kupinga ubomoaji wa nyumba zao. 

April 15 2016 ilikuwa ni siku ambayo kesi ilitakiwa kutolewa hukumu katika Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi lakini taarifa iliyotoka ni kwamba Jaji Fredrica Mgaya aliyetakiwa kusoma hukumu hiyo anaumwa. Wakizungumza na millardayo.com Diwani kata ya Tabata, Patrick Assenga na Mbunge wa viti maalum Segerea, Anatropia Theonest, wamesema …..

>>>’tumefika kama kawaida mbele ya jaji lakini kwa bahati mbaya tumeambiwa kwamba afya yake haijaendelea vizuri na badala yake imeahirishwa mpaka ijumaa ijayo April 22 tunaomba jaji aliyepewa hiyo kesi kama anaona hawezi kuhudhuria siku hiyo mahakama ipange mtu mwingine akatoe uamuzi wa kesi yetu kwa sababu tunaamini kila kitu kimekamilika’;-Anatropia Theonest

>>>’uamuzi unaweza kusomwa hata na msajili wa mahakama, kesi inapokuwa imekamilika katika hatua hii msajili wa mahakama peke yake anaweza kusoma huo uamuzi na sio issue kubwa, wakati mwingine unapoona mambo kama haya yanapelekea wananchi kuwa wasiwasi kuwa kesi inaingiliwa’:- Patrick Assenga

#MillardAyoUPDATES Hukumu ya kesi iliyofunguliwa na wakazi wa Tabata Segerea Dar es salaam kwa kina @wastara84 kuzuia ubomoaji wa nyumba zilizopo karibu na bonde la mto Msimbazi imeahirishwa hadi April 22 2016

A video posted by millard ayo (@millardayo) on Apr 15, 2016 at 3:16am PDT

ULIIKOSA VIDEO YA BOMOABOMOA KINONDONI DEC 17 2015? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

TAGGED: Tanzania, Tanzania news
Millard Ayo April 15, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Ukiniuliza ni movie gani ya kuitazama CINEMA leo Dar es salaam… + TRAILER nimekuwekea hapa
Next Article Godzilla na Mwasiti wanayo furaha kukualika kuisikiliza hii single mpya…- ‘First Class’ (+Audio)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Utacheka: Mwijaku apanda gari la Diamond ‘Rolls Royce’, Zuchu aangua kicheko, Baba Levo atia neno
Entertainment August 19, 2022
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 18, 2022

August 18, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 16, 2022

August 16, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2022

August 15, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 14, 2022

August 14, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?