Ad
Ad

AyoTV

VIDEO: Agizo la Waziri Nchemba kwa Askari wanaobambikizia watu kesi

on

Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba amesema kuwa kumekuwa na tabia za baadhi ya Askari polisi nchini kuwabambikizia kesi raia wasiokuwa na hatia kwa madai ya kutaka rushwa.

Waziri Nchemba akiwa Dodoma wakati akizindua mkutano wa mwaka wa maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi kwa mwaka 2017 amewaagiza viongozi wa polisi kuhakikisha wanauda taratibu za kutokomeza tabia hiyo.

VIDEO: “Sihitaji kuwa Jaji ” – TUNDU LISSU 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments