Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

AyoTV

Tabu wanayokutuna nayo Wasafiri stendi Ubungo (+video)

on

Leo December 22, 2018 tunayo story kutokea Kituo cha Mabasi yaendayo mkoani Ubungo, ambapo kumekuwa na changamoto ya usafiri hasa abiria waendao mikoani ambapo wengi wao wakionekana wamekaa ndani ya kituo hicho wakisubiri usafiri kwa muda mrefu.

Ayo Tv na Millardayo.Com imeweza kushuhudia abiria wakiwa katika hali ya kukata tamaa kutokana na changamoto hiyo ambapo imekuwa ikijitokeza mara kwa mara katika kipindi cha mwisho wa mwakana msimu wa Sikukuu.

Kutokana na changamoto hizi mara kadhaa serikali kupitia mamlaka husika imekuwa ikifanya jitihada ili kuhakikisha suala hilo linapatiwa ufumbuzi ikiwemo kutumia usafiri wa  Daladala endapo ukikidhi viwango.

MISS TANZANIA AJITETEA KUSHINDWA MISS WORLD “NCHI YANGU HAIKUTIMIZA WAJIBU WAO” BONYEZA HAPA KUPLAY

Soma na hizi

Tupia Comments