Habari za Mastaa

VIDEO: Alicia Keys amethibitisha kurekodi wimbo na Wizkid

on

Kismart cha star wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkd kinazidi kushine baada ya mwimbaji wa R&B kutoka Marekani Alicia Keys kuthibitisha kwenye interview yake na mtangazaji Ebro kwenye show ya Beats 1 inayofanywa na Apple Music kuwa anampenda Wizkid na anaukubali muziki wake.

Alicia Keys amesema kuwa tayari wamerekodi wimbo na Wizkid na ilikua kitu kikubwa sana kwake kuingia studio na Wizzy. Miezi kadhaa iliyopita Alicia Keys aliwahi kupost video fupi kwenye Instagram yake akicheza wimbo wa Ojoulegba kutoka kwa Wizkd.

Alicia Keys alipost picha hii kuonesha amekutana na Wizkid

Producer Swizz Beatz ambaye ni mume wa Alicia Keys akiwa na Wizkid nchi Marekani.

VIDEO: Maneno ya Alicia Keys kuhusu kuubali muziki wa Wizkid

VIDEO: Kama ilikupita performance ya Wizkid kwenye steji ya FIESTA2016 jijini Mwanza, Nimekuwekea hapa.

Soma na hizi

Tupia Comments