Tukio la mwisho kubwa kusikia adhabu ya Mwalimu kwa Mwanafunzi ilikua kwenye ile shule ya Mbeya Day ambako video ilisambaa mitandaoni ikionyesha Walimu wakimchangia kwa kumpiga Mwanafunzi ofisini.
Leo hii kuna msiba Wilayani Chunya kwenye Mkoa huo huo wa Mbeya baada ya Mwanafunzi kufariki kutokana na adhabu kali ya Mwalimu kumfungia kwenye kabati la shule. Ukibonyeza play hapa chini utasikia kila kitu kikisimuliwa na Mkuu wa Wilaya Rehema Madusa ambaye ameongea na millardayo.com na AyoTV
VIDEO: Flora awajibu wanaosema kamzidi umri Mume mpya na kuhusu kumualika Mume wake wa zamani kwenye harusi
VIDEO: Profesa J aongelea bungeni milioni 400 anazodaiwa Diamond, Nay wa Mitego na Roma Mkatoliki, KILA KITU KIPO KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI