AyoTV

VIDEO: Mambo sita ya Goodluck baada ya kuvuliwa kofia ya ‘baraghashia’ bungeni

on

June 22 2016 moja ya headline iliyotawala katika bunge la 11 ni kitendo cha mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kudai kuvuliwa kofia ya baraghashia na mbunge wa viti maalum Chadema Anatropia Theonest wakati wakiwa ndani ya bunge, Goodluck akalazimika kuomba mwongozo kwa Naibu spika Dk. Tulia Ackson ili kupata mwongozo.

Leo asubuhi wakati wapinzani wanatoka nje, kundi la wabunge wa chadema wakiongozwa na mbunge Anatropia Theonest alinivua baraghashia yangu na kutokomea kusikojulikana, kitendo kilichonifanya nisiwe na sifa ya kuendelea kukaa bungeni ‘ –Goodluck Mlinga

Kwenye hii video kayasema mambo sita aliyokosewa kwa kuvuliwa kofia hiyo..

ISIKUPITE HII YA WAZIRI MWIJAGE AKIWAJIBU WANAOSEMA KAPEWA BAJETI NDOGO

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments