Top Stories

AJABU: Walimu kufukuzwa kazi baada ya kufeli mitihani ya wanafunzi wao

on

Katika hali ya kushangaza walimu takriban 20000 wa shule za msingi wako kwenye hatihati ya kufukuzwa kazi katika jimbo moja liitwalo Kaduna lililo Kaskazini mwa Nigeria baada ya kufeli mtihani ambao unaostahili kufanywa na wanafunzi wao.

Gavana wa jimbo hilo ameeleza kuwa nafasi za walimu hao zitachukuliwa na wanafunzi wa chuo waliohitimu suala linalozungumziwa kuwa kiashiria cha elimu duni nchini humo.

Imeelezwa pia kuwa mitihani zaidi inaandaliwa na itatolewa siku za usoni kwa ajili ya walimu wa sekondari ili kuwabaini walimu wasio na sifa.

Ulipitwa na hii? PROF TIBAIJUKA! Kaeleza changamoto baada ya Rugemalira kuwa matatizoni

Soma na hizi

Tupia Comments