AyoTV

VIDEO: Kali nyingine ya Kagera, Mchungaji aoa Mke wa Muumini

on

Wilaya ya Karagwe Kagera imeingia tena kwenye headlines kwa mkasa uliotokea katika kata ya Ndama baada ya Mchungaji wa kanisa katika huduma ya kristu {H.K.K} Japhes Josephat kumuoa Mke wa muumini wake kwa madai ameoteshwa na Mungu…. TAZAMA KILA KITU KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

EXCLUSIVE VIDEO: Mume mpya wa Flora afunguka baada ya ndoa, TAZAMA KILA KITU KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

VIDEO: Flora Mbasha aolewa tena… tazama harusi ilivyofungwa kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments