Breaking News

BREAKING: Video ya Kigwangalla akiagiza Polisi na TAKUKURU kuanza kumchunguza Nyalandu mara moja

on

Kutoka Bungeni Dodoma leo November 13, 2017 ni agizo alilotoa Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla kuagiza Jeshi la Polisi pamoja na TAKUKURU kuanza kumchunguza mara moja aliyewahi kuwa Waziri wa Wizara hiyo Lazaro Nyalandu kufuatia tuhuma mbalimbali zinazomkabili…. TAZAMA KILA KITU KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

VIDEO: ZITTO KABWE APEWA ONYO BUNGENI LEO NOV 13 2017, TAZAMA HAPA CHINI ILIVYOKUA

Soma na hizi

Tupia Comments