Burudani

‘Muuza sabuni’ aliepewa Dola 3000 na Mr Eazi akarekodi wimbo, kwao Kigoma (+video)

on

Kutana na Gold Boy umri wake ni miaka 18 na Elimu yake ni Darasa la saba, anasema alikua chokoraa na baadae muuza sabuni Sido Kigoma mwenye kipaji cha kuimba nyimbo za bongo fleva aliyeamua kufanya cover za Wasanii wakubwa na kuziweka katikaYoutube ili apate nafasi ya kuonyesha kipaji chake.

Gold boy anasema anamshukuru Mungu kwa nafasi aliyopata ya kujulikana kwa Watu maana maisha aliyokua akiishi mtaani yalikua sio mazuri, hatosahau siku Msanii wa Nigeria Mr Eazi alipompatia USD 3000 (zaidi ya MILIONI 6 alipompatia Tsh.) ili aweze kufanya audio na video.

HUYU NDIO BIN LADEN WA TONGWE RECORDS…

Soma na hizi

Tupia Comments