Leo April 16, 2018 Mvua imenyesha katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwa siku mbili mfululizo, nimekusogezea Picha 10 zinaonesha hali ya baadhi ya maeneo Jijini DSM baada ya mvua hiyo kukatika.
Top Stories
PICHA 10: Jangwani kwa juu baada ya mvua kukatika
on
