Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Sababu 3 zilizofanya Dr. Kigwangalla amsimamishe kazi Profesa Songorwa
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Sababu 3 zilizofanya Dr. Kigwangalla amsimamishe kazi Profesa Songorwa
Top Stories

Sababu 3 zilizofanya Dr. Kigwangalla amsimamishe kazi Profesa Songorwa

November 6, 2017
Share
3 Min Read
SHARE

November 5, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla ameendelea kubaki kwenye vichwa vya habari kwenye siku zake za mwanzo toka akabidhiwe Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya kumsimamisha kazi Boss wa Wanyama Pori.

Dr. Kigwangalla ambae alizungumza kutokea ndani ya Hifadhi ya Serengeti, amefanya ziara ya kushtukiza na kuuzunguka mpaka wote wa mashariki hifadhi ya Serengeti inakopakana na Pori Tengefu la Loliondo.

Pori la Loliondo limekua na mgogoro wa muda mrefu ambapo Dkt. Kigwangalla ameagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Gaudence Milanzi kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Wanyama Pori, Profesa Alexander Songorwa mara moja ambapo amtaja sababu za kumsimamisha kazi:

1. Tuhuma za kuhujumu Serikali kwa kutoa taarifa za siri za Serikali kwa vyombo vya habari na kutunga taarifa zenye kulenga kuchochea mgogoro wa Loliondo. (Jana usiku zilizunguka taarifa kwamba Dkt. Kigwangalla yupo na msafara wa gari mbili binafsi (private) njiani kwenda Loliondo na kwamba atalala Hotel ya Acacia iliyopo Karatu, leo msafara wake umekuwa ukifuatiliwa na watu wasiojulikana ambapo kila hatua aliyofikia ilikuwa ikiripotiwa kwenye mtandao, hali ambayo imetishia usalama wa kiongozi huyo.

2. Waziri Kigwangalla amesema Mkurugenzi huyo amekuwa akifanya kazi kwa maelekezo ya muwekezaji wa Kampuni ya Utalii wa Uwindaji ya OBC (maarufu kama kampuni ya kiwindaji ya Wafalme wa Dubai). Kampuni hii imekuwa ikihusishwa na kashfa kwa miaka zaidi ya 26.

3. Aidha Prof. Songorwa amekuwa akihusishwa na kashfa ya kushiriki kugawa vitalu vya uwindaji kinyume cha sheria ambapo wiki mbili zilizopita Waziri Kigwangalla alisitisha mchakato wa kuhuisha leseni za uwindaji uliofanywa na Prof. Jumanne Maghembe, aliyekuwa waziri wa Maliasili na Utalii kwa tuhuma za rushwa na kukosekana uwazi kwenye mchakato huo ambapo sasa ameelekeza mchakato wa kugawa vitalu ufanywe kwa njia ya mnada.

Pia, ameelekeza TAKUKURU kuanza kuchunguza kashfa za rushwa dhidi ya kampuni ya OBC na waanze kwa kumhoji Mollel (Mkurugenzi wa OBC) ambae amekuwa akijigamba kila kona kuwa “nilimhonga Maghembe dola 200,000, huyu kijana Kigwangalla dola 100,000 inamtosha” Dkt. Kigwangalla amesisitiza haongeki na ndiyo maana jitihada za Mollel kumuona zimekwama na hata alipotumiwa ujumbe kupitia watu wake wa karibu alikataa.

Ili kuimarisha ulinzi wa mpaka wa Mashariki mwa Serengeti, Waziri Kigwangalla amewaondoa Askari wote wa kituo cha Geti la Kleins kwa kuwa wamekuwa wakitumika na mwekezaji huyo ambaye ana uhusiano wa Karibu na Prof. Songorwa na alikuwa na uhusiano ya karibu na Prof. Maghembe, Lazaro Nyalandu, balozi Kagasheki na Mawaziri wa Maliasili na Utalii wa zamani.

Mambo 10 ya Serikali ya JPM yamwagwa… bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Rais Magufuli akiwa nyumbani kwao Chato na Mama Mzazi..

 

 

You Might Also Like

Moruwasa, wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

TAGGED: TZA HABARI
Admin November 6, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Magazeti ya Tanzania leo Nov. 6 Udaku, Michezo na Hardnews
Next Article MAGAZETI LIVE: JPM hakamatiki, Siri Bomberdier nje nje, Mishahara juu kuanzia mwezi huu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?