Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen (Mst) Emmauel Mganga ameshiriki mazishi ya Sophia Thomasi Mkazi wa kibondo mjini aliyefariki siku moja baada ya kujeruhiwa vibaya kwa risasi na majambazi waliokuwa wamevamia katika Mtaa wa Kanyamahela ambapo amezikwa katika makaburi ya Kanisa Katoliki Mjini Kibondo.