Top Stories

Waziri Kigwangalla alivyoguswa na kifo cha Dr. Mengi “funzo from zero to Bilionaire” (+video)

on

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dr. Hamis Kingwangalla ameonyesha kuguswa na kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi na ameeleza alivyoguswa na msiba huo.

“Fikra zake zitaishi kama mfano wa watu ambao wamewahi kupigana katika maisha na kufanikiwa kuwa Bilionea hii itakuwa funzo alilotuachia ni kwamba kila kitu kinawezekana kuwa zaidi ya hapo” Dr. Kigwangalla

VIDEO MENGI AKIMUAMBIA MKEWE “NITAOMBA NIKUOE TENA MBINGUNI”, JACQULINE “I WILL ALWAYS LOVE YU”

Soma na hizi

Tupia Comments