Duniani

VIDEO: Majeshi 10 yenye nidhamu zaidi duniani, A.Mashariki limetajwa moja

on

Kutokana na majeshi mengi ya nchi mbalimbali duniani kushindana ili kuwa bora zaidi ya lingine, majeshi mengi yanawekeza zaidi kwenye silaha na wanajeshi wenye elimu ili kuwa bora zaidi pamoja na hayo nidhamu kwenye jeshi ni kitu ambacho kinatajwa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa zaidi.

Leo January 07 2017 nimekutana na hii video ambayo imetaja majeshi kutoka nchi 10 yenye nidhamu zaidi duniani huku Jeshi la Kenya likiwa kwenye list. Nchi zilizotajwa ni hizi.

Jeshi la China 

Jeshi la Urusi

Jeshi la India

Jeshi la korea Kaskazini

Jeshi la korea Kusini

Jeshi la Ufaransa 

Jeshi la Marekani

Jeshi la Pakistan

Jeshi la Japan

Jeshi la Kenya

Unaweza kutazama video hii hapa chini

VIDEO: Msimamo wa TZ kuhusu mgogoro wa mpaka na Malawi kwenye ziwa Nyasa, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments