AyoTV

VIDEO: Alichozungumza Mbunge wa Rufiji ndani ya dk 10 kuhusu Bajeti Kuu 2017/18

on

June 19, 2017 Wabunge waliendelea kuchangia mapendekezo yao katika Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambpo miongoni mwao ni pamoja na Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa ambaye katika dakika 10 alikuwa na haya ya kuchangia.

“Hata tusiokuwa na PhD tunatakiwa kusikilizwa” – Aeshi 

Soma na hizi

Tupia Comments