Duniani

VIDEO: Ubelgji wamejenga bomba la kusafirisha bia, baadhi yao watapata bia moja kila siku maisha yao yote

on

Xavier Vanneste alipata wazo la kujenga bomba litakalosafirisha bia miaka minne iliyopita, mwanzoni lilionekana wazo lisiloeleweka, lakini baadae likakubalika na takribani wanywaji 400 wakajitokeza kuchangia mradi huo. 

34E8DD8700000578-3625489-image-a-6_1465072556714

Xavier Vanneste 

mmoja wa watu waliochangia mradi huo ambaye ni mmiliki wa mgahawa, Philippe Le Loup anasema……….>>>inatakiwa uwe kama una kichaa fulani kidogo hivi kama bia yenyewe kufanya mradi kama huu, mimi nilikuwa na pesa kwa ajili hiyo kwa hiyo nikapenda nikatoa fedha’

Katika mradi huu wanywaji walichangisha dola milioni 3  hivyo wameahidiwa kupata bia moja kila siku bure maisha yao yote.

34E8DEB700000578-3625489-image-a-5_1465072548690

Xavier Vanneste amekuja na wazo la kutengeneza bomba kwa ajili ya kusafirisha bia kwa sababu hakutaka kutumia malori kwa kuwa yangeharibu mji, bomba limetoka ilipo kampuni ya bia kuelekea nje ya mji kama km 2.

34E8DC2B00000578-3625489-image-a-4_1465072519292

Malori yaliyokuwa yakitumika kabla

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIKOSA ALICHOONGEA ZITTO KABWE BAADA YA WANAFUNZI 7000 WA UDOM KUITWA VILAZA?UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments