Habari za Mastaa

Khalid katuletea hii video mpya ‘Know your worth’ (+video)

on

Khalid ni msanii wa Marekani mwenye umri wa miaka 22 ambae kwasasa rekodi zake anaendelea kukubali duniani kutokana na ladhaa ya muziki anaoutoka, sasa time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Know your worth.

Itazame hapa

Soma na hizi

Tupia Comments