on air with millardayo

VIDEO: Maamuzi ya Kassim Mganga kwenye management yake

on

Muimbaji wa bongo fleva Kassim Mganga amekaa kwenye exclusive interview na AYO TV na moja ya swali aliloulizwa na kulitolea majibu ni hili la kuhusu management yake na akazungumzia kwamba anahitaji kuibadilisha menejiment hiyo…….

>>>”Management ambayo nimeungana nayo nafikiri  kuna utaratibu sasa tuweze kuubadilisha kidogo na hata kama imekua lawama kwa mashabiki muda mrefu sana, kwa hiyo tumeliangalia na hilo pia  kibiashara tunaona lina mantiki sana, nafikiri formation inabadilika hivi karibuni inshallah”

Unaweza kuangalia video hii hapa chini

ULIKOSA KUANGALIA MAJIBU YA KASSIM MGANGA KUHUSU KURUDI TIP TOP CONNECTION? UNAWEZA KUITIZAMA HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments